1 Forbes hivi majuzi iliitaja Uswidi kuwa nchi bora zaidi duniani ya kufanyia biashara – mahali pazuri sana kwa wawekezaji

2 Uswidi ina kiwango cha pato la taifa la kila mwaka kwa kila mtu la $56,956, na kiwango cha juu zaidi cha maisha kote duniani

3 Uchumi wa kidijitali wa hali ya juu zaidi barani Ulaya, na jamii iliyoendelea zaidi katika uchumi usiotumia pesa taslimu katika eneo hili

4 Kiolezo cha Ushindani wa Kimataifa kimeianisha Uswidi kuwa nchi yenye uchumi wenye ushindani wa juu zaidi kote duniani

5 Uswidi inachukuliwa kuwa taifa lenye uvumbuzi zaidi katika Umoja wa Ulaya, na iliyo na leseni rasmi nyingi zaidi kwa kila mtu kwa mwaka

6 Uswidi ipo katika nafasi bora zaidi kuliko nchi yoyote duniani katika uwezo wa kufikia Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa

USHAURI

 • Kuanzisha kampuni
 • Ushauri wa kifedha | Kupangia kodi
 • Fursa za ustawi
 • Uchanganuzi wa rasilimali watu
 • Uteuzi/usimamizi wa kiteknolojia
 • Sheria na kanuni
 • Kuboresha mikakati ya uuzaji
 • Kukodisha wahudumu wa nje ya ofisi husika
 • Ufanisi wa kiutendaji
 • Kudhibiti hatari

UCHANGANUZI WA MASOKO

 • Ufikiaji na hamasisho kuhusu kampuni
 • Fani za kibiashara
 • Utabiri wa kina
 • Bidhaa za wateja
 • Mitindo ya kidemografia
 • Ugawaji wa soko
 • Kura za maoni ya umma
 • Uwezo wa bidhaa/huduma

UTAFITI

 • Maelezo ya biashara
 • Ripoti za kampuni
 • Uchanganuzi na urejeshaji wa data
 • Makumbusho ya serikali
 • Ripoti za kiuchunguzi
 • Ufuatilizi wa vyombo vya habari
 • Data ya takwimu za kimataifa
 • Uandikishaji| Kutafuta Wakurugenzi wa Kuajiri

AFISI PEPE

 • Mahali ilipo afisi mjini Stockholm/Uswidi
 • Nambari ya simu ya kituo cha mawasiliano
 • Huduma ya kusambaza barua pepe kote duniani
 • Usaidizi kwa wateja wa mchana na usiku

TAFSIRI

 • Kutoka/kwenda zaidi ya lugha 70
 • Wanaisimu wataalam wanaozungumza lugha asili
 • Hakikisho la ubora la ISO 17100
0
MIAKA YA BIASHARA
0
WASHIRIKA WATAALAM
0
WATEJA WAZURI ZAIDI
0 %
HAKIKISHO LA KURIDHIKA
Suluhu Maalum
Kila mteja ni tofauti - Kila mradi ni tofauti - Ndiyo sababu sisi daima tunajitahidi kutoa suluhu maalum, zilizoundwa ili kukidhi mahitaji na malengo yako maalum
Tunaifahamu wa Nchi Hii
Uhusiano wetu wa karibu na mashirika ya serikali ya Uswidi, taasisi na makampuni hutuwezesha kutatua matatizo yako kwa haraka na kwa urahisi
Nufaika Kutokana na Ustadi Wetu
Hebu tukupe usaidizi unaohitaji ili kufanikiwa - Maarifa yetu ya miaka kadhaa ndio misingi ya mafanikio yako nchini Uswidi
Vipimo na Uchanganuzi
Mikakati na vitendo vyote tunavyopendekeza vina mbinu wazi za kupima athari zake kwa malengo yako ya biashara na uuzaji
Ubora wa Huduma
Matokeo yetu yanahusiana moja kwa moja na ubora wa huduma tunazotoa, na hatimaye kuwezesha mafanikio yako - Tuko hapa ili kukusaidia katika kila hatua

Habari zinazochipuka

Pamoja tugundue mambo yanayowezekana!

Wasiliana nasi upate maelezo zaidi

Frejgatan 13
114 79 Stockholm
Uswidi

info@ce.se
swahili@ce.se

+46 8 55 11 07 00
+46 8 55 11 07 01