CE Uswidi • Tunawasaidia wateja wa kimataifa kung’amua mazingira ya kibiashara ya Uswidi

Innehållsförteckning

Karibu CE Uswidi

Tunawasaidia wateja wa kimataifa kung’amua mazingira ya kibiashara ya Uswidi. Washauri wetu wanachukua muda wa kutosha kuelewa kikamilifu kampuni, teknolojia na malengo ya kampuni yako. Suluhu tunazotoa daima zinashughulikia kabisa mahitaji yako ya kipekee.

Uswidi ni nchi yenye maendeleo makubwa na fursa nyingi sana – ni mahali pazuri pa kupanua biashara yako kimataifa na kugundua masoko mapya.

Shirikiana na sisi. Tuko tayari kukusaidia katika kila hatua.

 • Forbes hivi kajuzi iliitaja Uswidi kuwa nchi bora zaidi duniani ya kufanyia biashara – mahali pazuri sana kwa wawekezaji
 • Uswidi ina kiwango cha pato la taifa la kila mwaka kwa kila mtu la $56,956, na kiwango cha juu zaidi cha maisha kote duniani
 • Uchumi wa kidijitali wa hali ya juu zaidi barani Ulaya, na jamii iliyoendelea zaidi katika uchumi usiotumia pesa taslimu katika eneo hili
 • Kiolezo cha Ushindani wa Kimataifa kimeianisha Uswidi kuwa nchi yenye uchumi wenye ushindani wa juu zaidi kote duniani
 • Uswidi inachukuliwa kuwa taifa lenye uvumbuzi zaidi katika Umoja wa Ulaya, na iliyo na leseni rasmi nyingi zaidi kwa kila mtu kwa mwaka
 • Uswidi ipo katika nafasi bora zaidi kuliko nchi yoyote duniani katika uwezo wa kufikia Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa

Ushauri
ushauri wa wataalam

 • Usaidizi wa kibiashara
 • Biashara na uuzaji
 • Mahali ilipo kampuni
 • Mipango ya maendeleo
 • Ushauri wa kifedha
 • Rasilimali watu
 • Usimamizi wa kiteknolojia
 • Sheria na kanuni
 • Mikakati ya uuzaji
 • Kukodisha wafanyakazi wa nje ya ofisi husika
 • Ufanisi wa kiutendaji
 • Kuboresha uzalishaji
 • Kudhibiti hatari

Uchanganuzi
masoko

 • Kutathmini matangazo
 • Ufikiaji/hamasisho kuhusu kampuni
 • Fani za kibiashara
 • Utabiri wa kina
 • Bidhaa za wateja
 • Mitindo ya kidemografia
 • Uchanganuzi wa uaminifu
 • Ugawaji wa soko
 • Utafiti wa bei
 • Uwezo wa bidhaa/huduma
 • Kura za maoni ya umma
 • Tafiti za kuridhika

Utafiti
kiuchunguzi

 • Maelezo ya biashara
 • Ripoti za kampuni
 • Uchanganuzi wa data
 • Hifadhidata za hati
 • Orodha za barua pepe
 • Makumbusho ya serikali
 • Ripoti za kiuchunguzi
 • Mchakato wa kutambua wateja tarajiwa
 • Ufuatilizi wa vyombo vya habaro
 • Utangazaji wa Habari | Matangazo
 • Uandikishaji | Kutafuta Wakurugenzi wa Kuajiri
 • Data ya kitakwimu
 • Ripoti za serikali

Tafsiri
huduma za lugha

 • Zaidi ya lugha 70
 • Kuchapisha kwa lugha nyingi
 • Wanaisimu wataalam
 • Ukaguzi na uhariri
 • Kuhakiki ubora
 • Ujanibishaji programu
 • Kukamilisha mradi kwa haraka
 • Udhibiti wa istilahi
 • Tafsiri bunifu
 • Kunukuu
 • Kunukuu video
 • Ujanibishaji tovuti

Pepe
afisi ya uswidi

 • Anwani ya kampuni
 • Nambari ya simu
 • Usaidizi kwa wateja
 • Kituo cha mawasiliano
 • Kusambaza simu
 • Kusambaza barua pepe
 • Mpokezi wa moja kwa moja
 • Kubonga moja kwa moja mtandaoni
 • Kuratibu miadi
 • Kuchakata maagizo
 • Kazi za kiusimamizi

Suluhu Maalum

Kila mteja ni tofauti – Kila mradi ni tofauti – Ndiyo sababu sisi daima tunajitahidi kutoa suluhu maalum, zilizoundwa ili kukidhi mahitaji na malengo yako maalum

Ufahamu wa Nchi Hii

Uhusiano wetu wa karibu na mashirika ya serikali ya Uswidi, taasisi na makampuni hutuwezesha kutatua matatizo yako kwa haraka na kwa urahisi

Nufaika Kutokana na Ustadi Wetu

Hebu tukupe usaidizi unaohitaji ili kufanikiwa – Maarifa yetu ya miaka kadhaa ndio misingi ya mafanikio yako nchini Uswidi

Vpimo na Ufahamu

Mikakati na vitendo vyote tunavyopendekeza vina mbinu wazi za kupima athari zake kwaa malengo yako ya biashara na uuzaji

Ubora wa Huduma

Matokeo yetu yanahusiana moja kwa moja na ubora wa huduma tunazotoa, na hatimaye kuwezesha mafanikio yako – Tuko hapa ili kukusaidia katika kila hatua

Utafsiri wa haraka na sahihi kwa na kutoka lugha 71

Uchaguaji wa uajenti wa utafsiri unaoaminika na wa kitaalamu kutafsiri hati zako ni uamuzi muhimu. Hapa CE tunaelewa umuhimu wa kuwasilisha ujumbe wako kwa uwazi na usahihi. Kwa usaidizi wa timu iliyojitolea ya wafasiri waliohitimu, tunasaidia makampuni, mashirika, wakala na watu binafsi na tafsiri kwa na kutoka lugha 71. Tumekuwa tukirahisisha mawasiliano duniani kote tangu milenia iliyopita.

Kwa wakala mzuri wa utafsiri, msingi wa mafanikio ni ubora wa wafasiri wake. Wafasiri wetu ni wataalamu wa lugha waliohitimu ambao ni wazaliwa wa lugha lengwa. Huwa wanachaguliwa kwa misingi ya uzoefu na ujuzi wao wa sekta mbalimbali maalum. Mchakato wetu mkali wa uteuzi huhakikisha kwamba huduma tunazofanya zinatimiza matarajio yako. Tunazingatia usiri na usalama kama uaminifu wa dhati. Tafsiri zote zitabakia za usiri kabisa.

Kampuni ambayo hatimaye ilibadilishwa na kuwa CE ilianzishwa mnamo 1999 na lengo la kutoa huduma za utafsiri za haraka, kuaminika na zinazowe kufikiwa kwa urahisi. Wito wa uajenti wetu wa utafsiri ni kutoa utafsiri wa hali ya juu kwa muda mfupi. Tunajua umuhimu wa muda kwa biashara; kuchelewa kwa dakika chache tu kunaweza kusababisha matokeo mabaya. Kwa hivyo CE imeahidi kutoa utafsiri bora bila kuchelewa na kwa bei nafuu.

Ukiwa na CE kama mbia wako wa utafsiri, hautakuwa na wasiwasi kuhusu muda wa kuwasilisha, ubora, au malipo. Tunatoa utafsiri wa hali ya juu kwa sekta kadhaa, bila kuwahusisha wateja wetu na urasimu, kazi za mafaili, kupoteza muda, au bei za juu mno.

Tunaendelea kujitahidi kuhakikisha ubora wa juu, na kutekeleza kila mradi kulingana na matakwa ya mteja. Upendo wetu wa lugha na ubora, pamoja na huduma yetu bora kwa mteja, inatufanya chaguo bora kwa mahitaji yako yote ya utafsiri.

Unapofanya kazi na sisi, tunakuhakikishia utafsiri sahihi kabisa, unaowasilishwa kabla ya muda wa mwisho, na ndani ya bajeti tuliyokubaliana. Tunakuhakikishia ridhaa ya 100% kwa kila mradi unaotukbidhi tuukamilishe.

Kauli mbiu

 • Suluhu za Kiswidi
 • Suluhu yako ya Kiswidi
 • Washauri wa biashara wa Kiswidi
 • Mshauri wako wa biashara wa Kiswidi
 • Mshirika wa biashara wa Kiswidi
 • Mshirika wako wa biashara wa Kiswidi
 • Wastadi wa Kiswidi
 • Wastadi wako wa Kiswidi
 • Wataalam wa Kiswidi
 • Wataalam wako wa Kiswidi
 • Mwagwiji wa Kiswidi
 • Mwagwiji wako wa Kiswidi
 • Makampuni mahiri huchagua Uswidi
 • Gundua Uswidi pamoja nasi
 • Ungependa kufanya biashara nchini Uswidi?
 • Hebu tufanye biashara nchini Uswidi
 • Litawale soko la Uswidi
 • Hebu tuzungumze kuhusu Uswidi
 • Mstakabali wako nchini Uswidi
 • Uswidi, chaguo mahiri
 • Uswidi, njia mahiri
 • Uswidi, upendavyo!
 • Fanikiwa nchini Uswidi
 • Suluhu bora zaidi la Kiswidi
 • Muunganisho wako wa Kiswidi
 • Kuwa mwenye mafanikio nchini Uswidi
 • Fanikiwa ukiwa nchini Uswidi
 • Pata mafanikio nchini Uswidi
error: Innehållet är skyddat

CE

Sök